FAINALI za 2016 African Nations Championship (Chan 2016), ambazo ni Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wachezao ndani ya Afrika zilizoanza Jumamosi, zimeendelea Nchini Rwanda kwa Mechi 2 za Kundi B zilizochezwa huko Stade Huye, Mjini Huye.
Katika Mechi ya kwanza, Congo DR iliicharaza Ethiopia Bao 3-0 kwa Bao zilizofungwa na Guy Lusadisu, Heritier Luvumbu na Elia Meshack.
Mechi iliyofuatia, Cameroun iliifunga Angola 1-0 kwa Bao la Dakika ya 24 la Yazid Atouba lakini pia walibaki Mtu 10 kuanzia Dakika ya 66 baada ya Joseph Jonathan Ngwem kupewa Kadi ya Njano ya Pili na kutolewa nje kwa Kadi Nyekundu.
Leo zipo Mechi 2 za Kundi C.
MAKUNDI
KUNDI A: Gabon, Ivory Coast, Morocco, Rwanda
KUNDI B: Angola, Cameroon, Congo DR, Ethiopia
KUNDI C: Guinea, Niger, Nigeria, Tunisia
KUNDI D: Mali, Uganda, Zambia, Zimbabwe
CHAN 2016
RATIBA/MATOKEO:
Makundi
**Saa za Bongo
Jumamosi Januari 16
Rwanda 1 Ivory Coast 0
Gabon 0 Morocco 0
Jumapili Januari 17
DR Congo 3 Ethiopia 0
Angola 0 Cameroon 1
Jumatatu Januari 18
Tunisia v Guinea Stade Régional de Nyamirambo 16:00
Nigeria v Niger Stade Régional de Nyamirambo 19:00
Jumanne Januari 19
Zimbabwe v Zambia Rubavu 16:00
Mali v Uganda Rubavu 19:00
Jumatano Januari 20
Rwanda v Gabon Amahoro, Kigali 16:00
Morocco v Ivory Coast Amahoro, Kigali 19:00
Alhamisi Januari 21
DR Congo v Angola Stade Huye 16:00
Cameroon v Ethiopia Stade Huye 19:00
Ijumaa Januari 22
Tunisia v Nigeria Stade Régional de Nyamirambo 16:00
Niger v Guinea Stade Régional de Nyamirambo 19:00
Jumamosi Januari 23
Zimbabwe v Mali Rubavu 16:00
Uganda v Zambia Rubavu 19:00
Jumapili Januari 24
Morocco v Rwanda Amahoro, Kigali 16:00
Ivory Coast v Gabon Stade Huye 16:00
Jumatatu Januari 25
Ethiopia v Angola Amahoro, Kigali 16:00
Cameroon v DR Congo Stade Huye 16:00
Jumanne Januari 26
Guinea v Nigeria Rubavu 16:00
Niger v Tunisia Stade Régional de Nyamirambo 16:00
Jumatano Januari 27
Zambia v Mali Stade Régional de Nyamirambo 16:00
Uganda v Zimbabwe Amahoro, Kigali 16:00
No comments:
Post a Comment