Thursday, 31 December 2015

TUNA KUTAKIA HERI YA MWAKAMPYA 2016

 
HABARIKA TZ tuna toa shukurani zetu za dhati kwa kushirikiana  nasi kwa mwaka mzima wa 2015 napia tuna watakia wasomaji wetu wote heri ya mwakampya 2016. na pia tunaamini utaendelea kuwa mdau wetu kwa mwaka mzima 2016, endelea kuhabarika ku elimika na kuburudika mungu awabarikini nyote
by;habarika team

No comments:

Post a Comment