NEY WA MITEGO AZUNGUMZIA NAMNA WALIVYO ACHANA NA MPENZI WAKE
Nay
wa Mitego amezungumzia jinsi alivyoachana na aliyekuwa mpenzi wake
Samsha Ford baada ya mwanadada huyo kudai hataki tena kutoka kimapenzi
na mastaa.
rapa huyo alisema licha ya kuachana na
mwanadada huyo bado ni mshkaji wake na wanapiga stori kama kawaida
No comments:
Post a Comment