Sunday, 27 December 2015

HATIMAE MAJESH YA ILAQ YAWAZIDI NGUVU I.S MJINI RAMADI

Image result for JESHI LA IRAQ
 
 Jeshi la Iraq limesema linadhibiti jengo kubwa la serikali ambalo lilikuwa ndio kitovu cha mapigano katika mji wa Ramadi.
Wapiganaji wa Islamic State inaonekana wameondoka katika jengo hilo.
Hata hivyo, inasemekana wameweka mitego katika maeneo kadhaa, na jeshi bado halikuwa na udhibiti wa eneo lote.
Vikosi hivyo pia vinakabiliana na upinzani katika maeneo ya jirani.
Waandishi wa habari wanasema kudhibitiwa kwa mji wa Ramadi kunaonyesha ushindi mkubwa kwa serikali katika mapambano yake na wapiganaji wa I-S.

No comments:

Post a Comment