klau ya yanga ilitangaza kuvunja mkataba na kiungo wake wa kimataifa wa Rwanda aliyekuwa anakipiga katika klabu hiyo Haruna Niyonzima. Mengi yameanza kuandikwa na kuulizwa kama klabu ya Simba inamnyatia staa huyo wa Rwanda?
manara amejibu hivi...........
“ MANARA amesema, Haruna
Niyonzima ukiniuliza mimi hata viongozi wa Simba wanajua kuwa mimi
nampenda sana Haruna Niyonzima ila ni mimi Haji Manara, ndio aina ya
viungo ninaopenda wawe vile, lazima niseme nampenda lakini mimi
sisajilii kazi yangu ni kupewa habari na kuja kuwaambia lakini sijapewa
habari za Niyonzima”>>
No comments:
Post a Comment