Meneja wa zamani wa Manchester United David Moyes ameitaka klabu hiyo kumpa muda kocha wa sasa wa kikosi hicho Louis van Gaal.
"Nina imani wataendelea kushirikiana nae , anastahili kupata muda zaidi," alisema meneja huyo wa zamani wa Man United.
Vaan Gal alichukua mikoba ya David Moyes mwaka 2014 baada ya moyes kutimuliwa baada ya klabu hiyo kufanya vibaya katika ligi kuu na michuano ya ulaya .
No comments:
Post a Comment