Sunday, 8 November 2015
MATUMIZI YA PICHA YA RAISI YASITISHWA
Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo wiki iliyopita ilitangaza kuanza rasmi kwa matumizi ya picha ya Rais lakini baadaye ilitoa taarifa ya kusitisha matumizi ya picha hiyo.
“Serikali inapenda kuzitaarifu ofisi za umma na wananchi kwa ujumla kwamba imesitisha matumizi ya picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Serikali ya Awamu ya Tano, Dk John Joseph Pombe Magufuli ambayo ilikuwa inauzwa kwa gharama ya shilingi 15,000 mpaka hapo itakapotangazwa tena,” ilisema sehemu ya taaifa hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment