Wednesday, 4 November 2015
HUYU NDIE BOXER ATAKE CHEZA PAMBANO LA MWISHO NA MANNY PACQUIAO APRIL 9
Manny Pacquiao anasema kwamba pambano moja linafuatia atakalocheza ndio litakua la mwisho na baada ya hapo ataendelea na mambo ya siasa.
Sasa hivi ni kwamba Amir Khan amekubaliana na terms za kupambana na Manny Pacquiao ikifika April 9 huko Las Vegas. Habari za uhakika ni kwamba Khan ameshakubali kilak kitu na mkataba umetumwa kwa upande wa promoter wa Manny Pac kwa ajili ya kupitiwa na mambo mengine kukamilishwa.
Baada ya kumalizana na Floyd Mayweather, Manny Pac hana bondia mwingine ambae anaweza kucheza nae na kuvuta hisia za mashabiki zaidi ya Amir Khan. Hivyo basi pambano hili litatangazwa rasmi na tarehe itakua hii hii ili kumpa nafasi Manny Pac akagombee nafasi ya useneta nchini kwao.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment