Leo August 6, 2016 ni siku aliyozaliwa mtoto wa staa wa bongo fleva
Diamond Platnumz ambapo watu wengi wamemtakiwa mtoto huyu kila la kheri kwenye Birthday yake
, bongo movie staa aliyewahi kuwa na mahusiano na Diamond ‘
Wema Sepetu‘ hakuwa nyuma kwenye salamu za heri ya siku ya kuzaliwa kwa mtoto huyu,
Wema Sepetu aliandika hivi instagram>>>
“ Happy
Birthday Princess Tee…???????????????????????? May Allah bless your
precious lil self… You will definitely turn out to be a phenomenal young
woman “
No comments:
Post a Comment