Thursday, 28 July 2016

TOP 10 YA WACHEZAJI WALIOWAHI KUNUNULIWA KWA PESA NDEFU KWENYE HISTORIA YA SOKA

Maji marefu

Gareth Bale anatajwa kuwa ndiyo mchezaji ghari zaidi kwenye historia ya mchezo wa soka baada ya kununuliwa kwa dau la paundi milioni 85.3 kutoka Tottenham kwenda Real Madrid akiipiku rekodi ya Cristiano Ronaldo ya mwaka 2009 alipotoka Manchester United kwenda Real Madrid

Ronaldo alihama kutoka Manchester United kwenda Madrd kwa ada ya paundi milioni 80 wakati Higuani ameipiku rekodi ya star wa Barcelona Neymar kwa kuwa mchezaji wa tatu kununuliwa kwa mkwanja mrefu baada ya kukamilisha usajili kutoka Napoli kwenda Juventus uliogharimu paundi milioni 75.3 Mwaka 2013 Neymar alihama kutoka Santos kwenda Barcelona kwa kitita cha paundi milioni 73.5 na kuwa mchezaji wa tatu ghari katika historia ya soka, kwa sasa anakamata nafasi ya nne.
Hii hapa list ya wachezaji 10 ghali zaidi kwa muda wote katika historia ya uhamisho wa soka.
  1. Kevin De Bruyne
kevin de bruyne
Kutoka Wolfsburg kwenda Manchester City – £55m
10. Edinson Cavani
Edinson-Cavani
Kutoka Napoli kwenda PSG – £55m
9. Kaka
kaka1
Kutoka AC Milan kwenda Real Madrid – £59m
8. Zlatan Ibrahimovic

Kutoka Inter Milan kwenda Barcelona – £59m(£40m+Eto’o)
7. Angel Di Maria
Angel di Maria1
Kutoka Real Madrid kwenda Manchester United – £59.7m

6. James Rodriguez

James Rodriguez2
Kutoka Monaco kwenda Real Madrid – £63m
5. Luis Suarez
Luis Suarez5
Kutoka Liverpool kwenda Barcelona – £65m
4. Neymar
Neymar5
Kutoka Santos kwenda Barcelona – £73.7m
3. Gonzalo Higuain
Gonzalo Higuain3
Kutoka Napoli kwenda Juventus – £75.3m
2. Cristiano Ronaldo
cristiano-ronaldo
Kutoka Manchester United kwenda Real Madrid – £80m
1. Gareth Bale
Gareth Bale
Kutoka Tottenham kwenda Real Madrid – £85.3m

No comments:

Post a Comment