Msanii Jidenna aliyewahi kufanya vizuri na rekodi ya ‘Classic Man’
ametoa video ya wimbo mpya “Little Bit More” kutoka kwneye album yake ya
kwanza Long Live the Chief. Long Live the Chief inatoka mwezi wa kumi mwaka huu kupitia lebo za Wondaland/Epic.
No comments:
Post a Comment