Rais
Yoweri Museveni wa Uganda ameapishwa Rasmi kuwa Rais wa nchi hiyo
katika viwanja vya Kololo nchini humo na kuhudhuriwa na Viongozi
mbalimbali wa Afrika akiwamo Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
Rais Dkt.John Pombe Magufuli kutoka Tanzania.
No comments:
Post a Comment