Picha,Jumba walioishi Jay Z na Beyoncé lapanda bei ghafla.
Jumbe walilokuwa wakiishi wasanii wakubwa ambao ni mke na mume
Jay Z na Beyoncé huko kwenye mitaa ya Bridgehampton kwa sasa limepanda
dau na linakodishwa kwa dola milioni 1 kwa mwezi.
Beyoncé na Jay Z walilipia dola $400,000 kwa mwezi ambapo pia
walishoot video ya Drunk In Love nyuma ya nyumba hio. Nyumba ina vyumba
12 vya kulala, mabafu 12, na ni dola milioni moja kwa mwezi.
No comments:
Post a Comment