Mama
mwenye umri wa miaka 70 nchini India amepata mtoto na mumewe mwenye
miaka 79, Daljinder Kaur na mume wake Mohinder Singh Gill wamekuwa
katika ndoa kwa miaka 46 lakini hawakuwahi kupata mtoto wala mama huyo
kushika mimba wakiamini kwamba walikuwa ‘wamelaaniwa na Mungu’.
Mwezi
uliopita Bibi huyo alijifungua mtoto wao wakiume na ameingia kwenye
rekodi ya dunia ya mwanamke wa kwanza kuzaa mtoto katika umri huo.
No comments:
Post a Comment