Kocha
wa Real Madrid, Zinedine Zidane amesema Cristiano Ronaldo ameruhusiwa
na madaktari kucheza mechi ya kesho katika duru ya pili ya Klabu Bingwa
Ulaya dhidi ya Manchester City. "Yuko 100%," amesema Zidane, ambaye pia
amesema Karim Benzima na kiungo mkabaji Casemiro hawatokuwepo.
No comments:
Post a Comment