Mabingwa
Watetezi wa La Liga FC Barcelona Jana wametwaa tena Taji la Ligi hiyo
ya Spain baada ya Hetriki ya Luis Suarez kuwapa ushindi wa 3-0 Ugenini
na Granada katika Mechi ya mwisho ya Msimu huu wa La Liga.
Barca wametwaa Ubingwa wakiwa Pointi 1 mbele ya Real Madrid ambao
Jana walishinda Ugenini 2-0 dhidi ya Deportivo la Coruna kwa Bao za
Cristiano Ronaldo.
Suarez, mwenye Bao 40 za Laga Msimu huu akifuatiwa na Cristiano
Ronaldo wa Real mwenye 35, amekuwa Mchezaji wa Kwanza katika Misimu 7
kuvunja himaya ya Lionel Messi na Ronaldo ya kutwaa ‘Pichichi’, Taji la
Mfungaji Bora wa La Liga.
LA LIGA
Ratiba – Mechi za mwisho za Msimu
**Saa za Bongo
Ijumaa Mei 13
2130 Valencia v Real Sociedad
Jumamosi Mei 14
Deportivo la Coruna 0 Real Madrid 2
Granada 0 Barcelona 3
Atletico Madrid 2 Celta Vigo 0
Athletic Bilbao 3 Sevilla 1
Jumapili Mei 15
1300 Malaga v Las Palmas
1800 Espanyol v Eibar
1800 Rayo Vallecano v Levante
1800 Real Betis v Getafe
2000 Sporting Gijon v Villarreal
No comments:
Post a Comment