Kijana Fredy
Mahoma ambae ni mfanyabiashara wa mitego ya panya na panya wazima
akisaka wateja wa panya leo mjini Iringa ,panya mmoja anauzwa Tsh 2000
wakati mtego unauzwa Tsh 10,000 kijana huyo anatokea mkoani Dodoma na
anadai soko la panya ni kubwa kwa baadhi ya watengeneza sambusa na
wanafunzi kwa ajili ya somo la sayansi |
No comments:
Post a Comment