Anthony Martial amekosa mechi kadhaa kutokana na kuwa na majeraha. Lakini kuwepo nje ya uwanja haisababishi vitu vingine vya kifamilia kusimama.
Martial ametumia muda wake kumpeleka shopping mke wake Samantha Martial ikiwa ni siku yake ya kuzaliwa na kutimiza miaka 23.
Kwenye mtoko huo Martial alimpeleka mke wake kwenye duka la vitu vya chapa ya Tom Ford na baadae wakaenda kupata lunch kwenye mgahawa wa Nando’s.
Martial anaweza akarudi uwanjani kwenye mechi ya leo dhidi ya Watford.







No comments:
Post a Comment