Wednesday, 2 March 2016

MJOMBA MPOTO KUZINDUA KITU KIPYA JUMAMOSI DAR

Image result for mpoto mjomba
Msanii maarufu wa mashairi, Mrisho Mpoto  akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam kuhusu uzinduzi wa video yake ya Sizonje utakaofanyika Jumamosi katika ukumbi wa PSPF, Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment