Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katikati, akiwa na
viongozi wa Mtandao wa Kingdom Leadership Tanzania Network na Viongozi
wa Dini wa Mataifa mbalimbali Duniani, wakati wa uzinduzi wa mpango wa
Sala maalum ya kuliombea Taifa utakaofanyika kila mwaka, uzinduzi huo
umezinduliwa leo March 03, 2016 katika Hoteli ya Hayyat jijini Dar es
salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na baadhi ya
Viongozi wa Mtandao wa kitaifa wa Kingdom Leadership Network Tanzania
na viongozi wa Dini wa Mataifa mbalimbali Duniani wakati wa uzinduzi wa
mpango wa Sala maalum ya kuliombea Taifa utakaofanyika kila mwaka,
uzinduzi huo umezinduliwa leo March 03, 2016 katika Hoteli ya Hayyat
jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katikati, akiwa na
Viongozi wa Mtandao Kingdom Leadership Tanzania Network na Viongozi wa
Dini wa Mataifa mbalimbali Duniani wakati wa uzinduzi wa mpango wa Sala
maalum ya kuliombea Taifa utakaofanyika kila mwaka, uzinduzi huo
umezinduliwa leo March 03, 2016 katika Hoteli ya Hayyat jijini Dar es
salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua mkutano wa tisa
wa siku mbili kwa Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki pamoja na
Wabunge wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, unaojadili
kuhusu kupitia kanuni, Sheria na Itifaki zilizotolewa na Jumuiya ya
Afrika Mashariki juu ya Chaguzi zinazofanyika ndani ya Nchi hizo.
Mkutano huo umefunguliwa leo katika ukumbi wa LAPF Makumbusho jijini Dar
es salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katikati, akiwa katika
picha ya pamoja na Viongozi wa Mtandao wa Kitaifa wa Kingdom Leadership
Tanzania Network na Viongozi wa Dini wa Mataifa mbalimbali Duniani baada
ya uzinduzi wa Mpango wa Sala Maalum ya kuliombea Taifa uliofanyika leo
March 03,2016 katika Hoteli ya Hayyat Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua mkutano wa tisa
wa siku mbili kwa Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki pamoja na
Wabunge wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, unaojadili
kuhusu kupitia kanuni, Sheria na Itifaki zilizotolewa na Jumuiya ya
Afrika Mashariki juu ya Chaguzi zinazofanyika ndani ya Nchi hizo.
Mkutano huo umefunguliwa leo katika ukumbi wa LAPF Makumbusho jijini Dar
es salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mbunge wa
Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Sheyros Banji nje wa ukumbi wa LAPF
Makumbusho jijini Dar es salaam leo March 03,2016 baada ya kufungua
mkutano wa tisa wa siku mbili kwa Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki
pamoja na Wabunge wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki,
unaojadili kuhusu kupitia kanuni, Sheria na Itifaki zilizotolewa na
Jumuiya ya Afrika Mashariki juu ya Chaguzi zinazofanyika ndani ya Nchi
hizo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya
pamoja na wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki pamoja na Wabunge wa Nchi
wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya kufungua mkutano wa
tisa unaojadili kuhusu kupitia kanuni, Sheria na Itifaki zilizotolewa na
Jumuiya ya Afrika Mashariki juu ya Chaguzi zinazofanyika ndani ya Nchi
hizo.mkutano huo umefunguliwa leo Marchi 03,2016 katika ukumbi wa LAPF
Makumbusho jijini Dar es salaam. (Picha na OMR)
No comments:
Post a Comment