Wednesday, 2 March 2016

Kama uliikosa hii ni video ya uzinduzi wa “Kamatia Chini Lights Up Tour” ya Navy Kenzo

Usiku wa February 28 kundi la Navy Kenzo linaloundwa na Aika na Nahreel lilifanya uzinduzi wa “Kamatia Chini Lights Up Tour” ambayo itafanyika mikoa kadhaa Tanzania pamoja na Nairobi Kenya. Navy Kenzo walifanya uzinduzi huo ndani Maisha Basement Dar Es Salaam.


No comments:

Post a Comment