Lady in Red iliyofanyika siku ya Jumamosi Februari
13, 2016 jijini London, uingereza maalum kwa siku ya wapendanao
iliyoandaliwa na ClubMalibu na kufanywa na mama nguli wa mitindo Asya
Idarous Khamsini huku ikinogeshwa na msanii wa Bongo Flava Rich Mavoko.
Mlimbwende akipita mbele ya mashabiki wa mitindo jijini
London kwenye onesho la Lady in Red ililofanywa na mama mitindo nguli
Asya Idarous Khamsini mwenye maskani yake mji wa Houston jimbo la Texas,
Onesho hilo lililohudhuriwa na mashabiki wa mitindo jijini London
lilinogeshwa na msanii wa Bongo Flava Rich Mavoko.

Walimbwende wakipita mbele ya mashabiki wa mitindo.
No comments:
Post a Comment