Takriban watu 100
waliokamatwa kwa makosa ya kuandamana mjini Bujumbura,Burundi kupinga
muhula wa tatu wa rais Nkurunziza wameachiliwa huru.
Wanaamnika kuwa sehemu ya upinzani ulioanza kampeini ya kumzuia Pierre Nkurunziza asiwanie muhula wa tatu mwezi Mei.22 walipewa kifungo cha nyumbani.
76 waliachiliwa huru baada ya mashtaka dhidi yao kufutiliwa mbali.
Robo tatu kati yao hawajafunguliwa mashtaka.

No comments:
Post a Comment