Tuesday, 8 December 2015

Omarion hajafurahishwa na nominations za The 58th Grammys Awards… cheki alivyoandika!

Image result for OMARION


Jana Jumatatu tarehe 07 December 2015 Tuzo za Grammy zilitangaza orodha ya wasanii waliofanikiwa kuingia kwenye nomination list ya tuzo za 58 za Grammy yani The 58th Grammy Awards huku Kendrick Lamar akiongoza list hiyo kwa kuwa kwenye vipengele 11.
Image result for OMARION
Moja kati ya majina ambayo hayakuwepo kwenye list hiyo ya nominations ni jina la R&B Superstaa, Omarion. Hit single ya Omarion ‘Post To Be’ feat. Chris Brown & Jhene Aiko pia haikufanikiwa kuchaguliwa kwenye nominations hizo licha ya single hiyo kufanya vizuri sana na kupata zaidi ya watazamaji milioni 300 kwenye YouTUBE.
Omarion.
Staa huyo kutoka kwenye kundi la muziki la Maybach Music Group aliamua kupeleka hisia zake kwenye page yake ya  Twitter ambapo alishusha hasira na masikitiko yake kwenye hizi tweet 6 nilizofanikiwa kuzinasa

No comments:

Post a Comment