Siemens ni moja ya
kampuni kubwa nchini Ujerumani ambayo imeamua kutoa ajira kwa wingi kwa
vijana ambao wanawasili nchini humo kama wakimbizi.
Kampuni hiyo
ambayo inaamini kuwa wahamiaji wanaoingia nchini humo huwa wana malengo
makubwa zaidi katika ajira na hivyo ni muhimu kwa watu hao kupewa nafasi
ili kukuza uchumi wa nchi.Aidha, wanahitajika sana Ujerumani ambako sehemu ya watu wenye umri wa juu inazidi kuongezeka.
Huku rais wa shirikisho linalowakilisha nchi katika viwanda vidogo na kati vya kibiashara wanasema wajumbe wake hawawezi kuwakubali wahamiaji hayo iwapo hawana uwezo wa kuongea Kijerumani.

No comments:
Post a Comment