Saturday, 5 December 2015

Chelsea imepoteza mchezo mbele Bournemouth, Cheki matokeo ya mechi za EPL Dec 5 (Video)

Klabu ya Chelsea ambayo ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Uingereza, December 5 wameshuka dimbani kucheza mchezo wao wa 15 wa Ligi Kuu Uingereza na kuendelea na harakati za kujikwamua kutoka nafasi za chini katika msimamo wa Ligi Kuu Uingereza.
3200
December 5 Chelsea ilicheza dhidi ya Bournemouth katika uwanja wake wa nyumbani na kukubali kipigo cha goli 1-0 mbele ya Bournemouth, kwa goli pekee lililofungwa na  Glenn Murray dakika ya 82 ya mchezo. Kwa matokeo hayo Chelsea ambayo ipo nafasi ya 14 katika msimamo wa Ligi, inakuwa imepoteza jumla ya mechi 8.



No comments:

Post a Comment