Karim Benzema amesimamishwa kutoka
timu ya taifa ya Ufaransa hadi uchunguzi wa madai yanayohusiana na kanda
chafu ya ngono ukamilishwe.
Benzema amesimamishwa kucheza na Shirikisho la Soka la Ufaransa.
Mshambuliaji huyo anachunguzwa kwa madai kwamba alihusika katika njama ya kutishia na kudai pesa kutoka kwa mchezaji mwenzake wa Ufaransa Mathieu Valbuena.
Nyota huyo wa Real Madrid amekanusha madai hayo.
No comments:
Post a Comment