Staa wa R&B, Tyrese Gibson amemnunulia binti yake mwenye umri wa miaka 8, Shayla Gibson kisiwa kama zawadi ya sikukuu ya Christmas.
“Well, I just bought my daughter an island, Can’t say where. She knows all about it and the island is called Love Island. I’ll be putting it up on my Facebook soon.”Alisema Tyrese [36] alipoulizwa zawadi gani kubwa aliyowahi kupewa au kupokea na Entertainment Tonight.
Tyrese aliachana na mama wa mtoto wao, Norma Gibson baada ya Norma kumnyima haki ya kumuona binti yake mwezi february mwaka jana


No comments:
Post a Comment