Tuesday, 27 October 2015

LAMPARD ABEBA TUZO YA HESHIMA KUTOKA FAMILIA YA MFALME WA UINGEREZA


 
Kiungo mkongwe, Frank Lampard amepeta tuzo ya heshima kutoka kwa familia ya kifalme ya Uingereza.

Tuzo hiyo maarufu kama OBE yaani Order of British Empire ambayo hutolewa kwa Waingereza waliotoa mchango mkubwa katika nyanja mbalimbali.

Lampard ambaye sasa anacheza sola la kulipwa katika klabu ya New York ya nchini Marekani aliongozana na familia yake kwenda kupokea tuzo hiyo aliyokabidhiwa kwa heshima kubwa.




No comments:

Post a Comment