
, mshambuliaji wa klabu ya Azam FC amesema ni bora aondoke kwenye timu hiyo kuliko kukaa nje Mshambuliaji wa kimataifa wa Azam FC kutoka nchini Burundi Didier Kavumbagu, amesema kuwa yupo tayari kuondoka kwenye klabu hiyo kama ataendelea kusugua benchi kwenye klabu hiyo.
“Kwanza namshukuru mwenyezi Mungu kwa kuweza kunipa nafasi, pili nashukuru kwa wale wote ambao wameweza kunipa nafasi kama mwalimu pamoja na benchi zima la ufundi”, amesema Kavumbagu ambaye alifunga goli la kwanza wakati Azam ikishinda goli 4-2 dhidi ya JKT Ruvu.
No comments:
Post a Comment