Saturday 16 January 2016

HAYA NI MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2015 - 2016

Baraza la mitiani NECTA limetangaza Matokeo ya kidato cha 2 kwa wanafunzi waliofanya mtihani mwaka jana ambapo wanafunzi 324,068 sawa na 89% kati ya wanafunzi 363,666 waliofanya mtihani wamefaulu kuendelea na kidato cha tatu.

No comments:

Post a Comment